Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Achana kabisa na msuli wa COETMziki wa school of law unauzidi mziki wa
Vetenary medicine pale SUA
Unazidi mziki wa Coet pale UD
Unazidi mziki wa Medicine pale MUHAS
Acha kujipa sifa zisizo na kichwa wala miguu
Mziki gani labda?mtoa mada unauelewa mziki wa law school kweli?? pambana na hali yako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe kasome sheria ili uringe! Sijui nani ataku admit na hiyo division zero yako!
Sent using Jamii Forums mobile app
mtoa mada unauelewa mziki wa law school kweli?? pambana na hali yako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio dhambi kuajiriwa. Shida zako ndio mshahara wangu!! Karibu sana.Alafu div 0 ndo huwa wanawaajiri nyie mliosoma muwe wafanyakaz wao na wanawalipa mishahara.
Ujanja hela sio shule mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha!Sio dhambi kuajiriwa. Shida zako ndio mshahara wangu!! Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio dhambi kuajiriwa. Shida zako ndio mshahara wangu!! Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha. Hawa learned nurses mbona hainogi aiseee! Doh!ICA, WPE, OPE FE siyo mchezo. Ukitoka hapo lazima unakuwa Learned Advocate.
Kama vipi na wengnine wajiite learned teacher, learned engineer, leaned nurse
Alafu div 0 ndo huwa wanawaajiri nyie mliosoma muwe wafanyakaz wao na wanawalipa mishahara.
Ujanja hela sio shule mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umeombwa hela na Wakili Msomi?
Au ni wivu tu?
Kama unahisi lawyers wanaringa, na wewe waringie au achana nao. Kwani wamekiuka haki zako za msingi ? Au wakiringa wanakuwa wamevunja sheria?
Sawa tu. Wewe niajiri mimi sina tatizo! Nimushakueleza kuwa shida zako ndio mshahara wangu! Ninajiamini na taaluma yangu!Kwa iyo unakuwa unatembelea kivuli cha div 0. Kwa iyo kwangu mimi nliekuajiri huo usomi wako ni takataka mana nakuwa na hela kuliko wew wakili msomi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha. Hawa learned nurses mbona hainogi aiseee! Doh!
Sent using Jamii Forums mobile app