Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Weye ni mvivu wa kusoma.Sasa maandishi machache hayo yanakushinda kusoma?Sidhani kama unaelewa maana ya fake id...!
...naona tu hamna cha maana unachoandika zaidi ya kuleta matakataka zaidi, mara sijui kijijini kwenu!
Btw, andika point za maana tuone una hoja gani...
Sent using Vertu Signature Cobra
Nilishakueleza swali.The learned brother au wakili msomi kama ilivyotafsiriwa kwa kiswahili maana yake halisi katika matumizi ni;
-Kutambuana watu wenye weledi wa sheria
-Ni neno la kuonesha kuheshimiana miongoni mwako
-Ni namna ya kutambua michango ya kisheria katika masuala ya kisheria
-Kutaka kujitofautisha na watu wa fani nyingine
Hayo yote ukiyaweka kimtazamo hayana nia mbaya zaidi ya kujitambua.Hata ninyi mliosoma CBG (kabeji)baada ya kuhitimu fani yenu ya upishi mnaweza kutunga jina/neno litakalokutambulisheni uhodari wenu wa kukatakata nyanya na kukuna nazi.
Good!Hebu jinunulie kakakola hapo unywe kwa kunikumbuka mimi.
Ndiyo maana kwenye kamusi kuna neno "kero"! Litumie vizuri mkuu.Swala siyo kujiita vyovyote mnavyojisikia hata kama haileti maana yoyote miongoni mwa watu, haipaswi kuwa hivyo!
Mnapaswa kuweka neno lenye kuleta maana yakueleweka miongoni mwa watu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi kasema soda anauza elfu tano sijui tunafanyaje[emoji4]Good!Hebu jinunulie kakakola hapo unywe kwa kunikumbuka mimi.
Sikusikii vizuri mkuu!Radio-call yangu ina matata leo.
Ngoja nikutumie mesejiSikusikii vizuri mkuu!Radio-call yangu ina matata leo.
Afadhali.Ndipo hapo napendaga umaridadi wako kichwani.
Hahahahah chuo gani hicho?.Sikupingi mzee,ata hapa chuoni tunao,Kuna siku wanaamuaga kuvaa suti nyeusi woote kuanzia CL,DL1&2,LLB1 hadi3,wao wanaitaga Mourt court,heheh vi manzi sasa vinavyoringa ni kisanga ariff but me waga sina ata njaro navyo.
Acha uzwazwa weweElimu na afya siyo taaluma. Hizo ni sekta. Hapa tunazungumzia taaluma, siyo sekta. Upo?
Unajua maana ya "mtambuka" mkuuSasa nyie mmefanya mambo gani ambayo ni extra ordinary nchini?
Kama ni mapungufu ya sheria yapo chungu nzima [emoji108][emoji108][emoji108] na nyie mpo!
Swala la uvumbuzi/ ugunduzi ni swala mtambuka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ganja basi ndio itakuwa inawapotezaLazima ujue kutafautisha kati ya kuringa na kujiamini wanasheria wanajiaminj na wanapenda kujiweka smart.Mi nawakubali sana, kwanza wanajua haki zao na jinsi yakucheza na sheria,alafu asilimia kubwa wanakula ganja,wapi advocate Tino,heshima kwako kokote uliko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kama mwanasheria kumbe....[emoji14][emoji14][emoji14]
Kuvaa miwani?!
Tasnia ya sheria nchini iko na changamoto nyingi sana!
Nimeuliza ni ja (ma)mbo gani extra ordinary ambayo yamefanywa na wanasheria nchini tangu Uhuru wa Tanganyika?
Chamaana kuwa mfaacho mtu chake na tunategeana,
Kwa hiyo tuache mashauzi na kujiona bora kuliko mwengine!
Sent using Jamii Forums mobile app