Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Nilishakueleza swali.The learned brother au wakili msomi kama ilivyotafsiriwa kwa kiswahili maana yake halisi katika matumizi ni;
-Kutambuana watu wenye weledi wa sheria
-Ni neno la kuonesha kuheshimiana miongoni mwako
-Ni namna ya kutambua michango ya kisheria katika masuala ya kisheria
-Kutaka kujitofautisha na watu wa fani nyingine
Hayo yote ukiyaweka kimtazamo hayana nia mbaya zaidi ya kujitambua.Hata ninyi mliosoma CBG (kabeji)baada ya kuhitimu fani yenu ya upishi mnaweza kutunga jina/neno litakalokutambulisheni uhodari wenu wa kukatakata nyanya na kukuna nazi.

Swala siyo kujiita vyovyote mnavyojisikia hata kama haileti maana yoyote miongoni mwa watu, haipaswi kuwa hivyo!

Mnapaswa kuweka neno lenye kuleta maana yakueleweka miongoni mwa watu!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikupingi mzee,ata hapa chuoni tunao,Kuna siku wanaamuaga kuvaa suti nyeusi woote kuanzia CL,DL1&2,LLB1 hadi3,wao wanaitaga Mourt court,heheh vi manzi sasa vinavyoringa ni kisanga ariff but me waga sina ata njaro navyo.
Hahahahah chuo gani hicho?.
 
Lazima ujue kutafautisha kati ya kuringa na kujiamini wanasheria wanajiaminj na wanapenda kujiweka smart.Mi nawakubali sana, kwanza wanajua haki zao na jinsi yakucheza na sheria,alafu asilimia kubwa wanakula ganja,wapi advocate Tino,heshima kwako kokote uliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ganja basi ndio itakuwa inawapoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji14][emoji14][emoji14]

Kuvaa miwani?!

Tasnia ya sheria nchini iko na changamoto nyingi sana!

Nimeuliza ni ja (ma)mbo gani extra ordinary ambayo yamefanywa na wanasheria nchini tangu Uhuru wa Tanganyika?

Chamaana kuwa mfaacho mtu chake na tunategeana,

Kwa hiyo tuache mashauzi na kujiona bora kuliko mwengine!


Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kama mwanasheria kumbe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app

Swala laweza kuwa mtambuka iwapo utekelezaji wake utahitaji au unategemea chombo /taasisi zaidi ya kimoja au viili ili kuleta matarajio chanya!
Uwepo wa chombo/taasisi moja hautaweza kukamilisha matarajio kuwa halisi na chanya iwapo taasisi nyingine zitashindwa kutekeleza wajibu wake kwa wakati!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
msisahau kuwa hawa jamaa na walimu wa sheria ndio waliokua na udhubutu wa kumuhoji Yesu
 
Back
Top Bottom