Hovering
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 275
- 912
Wazee naomba apa tuwekane sawa, mara kadhaa nimekua nikshuhudia kwenye vyombo vya habari Marathon mbalimbali zikiwa zimepewa majina tofauti tofauti.
Sasa nashindwa elewa tukio zima hua linapikwa vipi na hata washiriki hua wanapata vipi nafasi hizo za kushiriki. Kimsingi nadhani nahitaji kujua hizi mambo la kunajambo nitajifunza.
Nafikiri pia kwa namna moja ama nyingine itasaidia kuibua interest na hamasa ili siku moja nipate fursa ya kushiriki mambo kama haya ambayo kiukweli kwa tusioelewa deep tunaona nikama tukio linalowahusu watu wachache na wenye hadhi fulani.
Karibu kwajili ya kunipa dodoso au information ya Marathoni kama nilivyo weka utangulizi wangu awali.