farkhina hebu kam vere fast!
Mimi nnazonunua nnaeza kuchemsha tu au kukaanga. Huwa napenda kuzipika na tambi au kunywea chai asubuhi...
Kama kuzipika na tambi pika hivi ni simple.
Mahitaji
Tambi
Sausage
Mafuta kiasi
Saumu
Limau
Nyanya....zisage
Chumvi kiasi...
Pilipili manga....
Namna ya kutaarisha....
Zioke kidogo soseji zako kwa muda wa dakika 5-10....
Katika sufuria chemsha maji akichemka weka tambi zako zikiwiva mwaga maji......weka pembeni
Soseji zikiwiva zikatekate vipande..
Katika sufuria nyengine weka mafuta kiasi weka saumu kidogo sana na pilipili kama ukipenda kaakanga kwa dakika 3.
weka sausage halafu weka nyanya acha ichemke hadi kuwiva (ukiona nyepesi sana weka nyanya ya kopo.....
Weka pilipili manga chumvi na limau kiasi...
Epua tayar kwa kuliwa
Cc Viol daughter ram
Last edited by a moderator: