Uandaliwe utaratibu kabla ya NECTA Kutangaza matokeo bunge liwe linayaidhinisha

Uandaliwe utaratibu kabla ya NECTA Kutangaza matokeo bunge liwe linayaidhinisha

augustino ameri

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
267
Reaction score
57
Ni vizuri kamati ya bunge ikawa inayapitia matokeo yoyote yanayotayalishwa na NECTA Ili bunge likiona haijaridhishwa na matokeo basi irudishe tena baraza la mitihani na mapendekezo kuwa kuwe na div.1 ngapi,div ii ngapi,three ngapi nk.

Wadau mnaonaje kuliko kutoa matokeo na kufuta matokeo kama ilivyotokea mwaka huu.
 
Hiyo sio siasa, mambo ya MITIHANI NI TAALUMA, ccm na Chadema kaeni pembeni kabisa!!!! Ni vizuri NECTA ikaendelea kuwa Chombo huru kinachofanya kazi chini ya wizara ya elimu..Tukiwaachia wabunge ndo upuuzi wa kufuta matokeo utaendela kila kukicha manake Elimu za wabunge ndo hivyo tena '' sio lazima sana" ukichanganya na UCHADEMA VS UCCM ndo itakuwa balaa zaidi! kumbuka tu kila chama kina sera zake na hijaandikwa watatawala milele......
 
Duh! hii nayo ni mpya! Bunge lina vilaza wa darasa la saba wengi tu. Leo wakascreen matokeo ya mtihani wa kidato cha nne au sita. Tupunguze mlolongo wa taasisi zinazo simamia elimu yetu na tu-invest kwenye miundo mbinu, mazingira ya kazi kwa walimu pamoja na mikakati sahihi katika kusimamia elimu bila shaka tutafika pazuri
 
Matokeo yake wanafeli 90% serikali inaamuru NECTA wasahihishe upya ili wapate ku justify kwamba elimu ni bora!

Hata hili la kurudia kusahihisha mitihani mimi siliafiki!
 
Matokeo yake wanafeli 90% serikali inaamuru NECTA wasahihishe upya ili wapate ku justify kwamba elimu ni bora!

Hata hili la kurudia kusahihisha mitihani mimi siliafiki!
Hivi wale watoto wajiojiuwa itakuwaje? ofcourse walijiuwa baada ya kupata Div-0, leo wanarudia, Je wakipata Division-lll, itakuwaje?
 
ni vizuri kamati ya bunge ikawa inayapitia matokeo yoyote yanayotayalishwa na NECTA Ili bunge likiona haijaridhishwa na matokeo basi irudishe tena baraza la mitihani na mapendekezo kuwa kuwe na div.1 ngapi,div ii ngapi,three ngapi nk.wadau mnaonaje kuliko kutoa matokeo na kufuta matokeo kama ilivyotokea mwaka huu.

Mkuu unaona mbali kweli! Nadhani hiyo ndio destination ambayo tunaitaka! Baraza la Mitihani lipo kwa Mujibu wa Sheria ya Bunge na majukumu yake yameanishwa. Baraza limetoa matokeo kwa mujibu wa kazi zake leo tunakaa mahala sijui Bungeni tunatoa kauli kwamba futa matokeo yote anza upya. Sijui tunaelekea wapi. Uko sahihi Bunge lianze kubariki matokeo kwanza nadhani ndicho wanachokitaka
 
Back
Top Bottom