augustino ameri
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 267
- 57
Hivi wale watoto wajiojiuwa itakuwaje? ofcourse walijiuwa baada ya kupata Div-0, leo wanarudia, Je wakipata Division-lll, itakuwaje?Matokeo yake wanafeli 90% serikali inaamuru NECTA wasahihishe upya ili wapate ku justify kwamba elimu ni bora!
Hata hili la kurudia kusahihisha mitihani mimi siliafiki!
ni vizuri kamati ya bunge ikawa inayapitia matokeo yoyote yanayotayalishwa na NECTA Ili bunge likiona haijaridhishwa na matokeo basi irudishe tena baraza la mitihani na mapendekezo kuwa kuwe na div.1 ngapi,div ii ngapi,three ngapi nk.wadau mnaonaje kuliko kutoa matokeo na kufuta matokeo kama ilivyotokea mwaka huu.