Uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Naona mambo yameanza kunukia nukia kwa wale ambao tunasubiria kupata huu mchongo ni muda sasa wa kukaa kitaalamu na kwa password zaidi

Mungu atujalie sisi jobless tupate hii kazi angalau tupunguze machungu ya kusoma na kukaa mtaani bila kazi
 
Kazi ya wiki moja haikuondolei wewe kuwa wa mtaani bila kazi. Labda ukipata ufanyie jambo la kiuchumi binafsi
Kutok mtaani kunahitaji resources na hizo resources kama upo mtaani unakuwa huna, think that way kwa hio kazi atapata 600,000 TZS hii ni resources nzuri kumuwezesha kutoka huko kitaa.

Finding job need money, applying need MBs, Interview need pesa za nauri nk nk
 
Zoezi litaanzia July 1 kigoma..... Litamakuzika March 2025.
Litatumia watu wachache sana Kwa mgawanyo huu:-
-watumishi wa umma ambao ni chawa, pisi Kali za wakubwa, CCM na wanaojiongeza kununua fursa 30%
-chawa wa diwani 10%
-chawa, walionunua kazi na madem wa mtendaji 45%
- wanafisiem 15%

Je, kata Yako mnatakiwa wangapi?
 
True kutafuta kazi inabid uwe na hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…