Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Leo mchana nimekwenda kujiandikisha kuhusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kuna jambo moja fikirishi ni, nini nia na madhumuni ya kuandikisha.
Nimeandikwa jina langu, umri na nikaweka sahihi.
Nilichoandikwa ni jina na umri tu! majina yetu hujirudia rudia, hapa sijui ni mkazi wa mtaa, wilaya, mkoa au namba ya nyumba ipi!
Je, usomi wetu ndipo ulipoishia hapo?