desmond JJ
Member
- Jul 6, 2012
- 56
- 28
Bwana Kailima umeiona nyomi ya watu wa Dar?
Nawapongeza mmeweka mashine nyingine vituoni safari hii. Ila hazitoshi tunakaa sana foleni halafu mwezi mtukufu huu shehk. Fanyeni hata mashine tano tano kila kituo hizi tatu zinazidiwa. Dar sio sawa na mikoani