LGE2024 Uandikishaji Wapiga Kura Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Matarajio, Uhalisia na Mapendekezo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
kama kawaida yao vilaza wamekimbia hawapo ila ni mabingwa wa kuiba na kudhurumu kura za watu
 
Mimi nilikua nimeshakata tamaa kabisa kuhusu yalitokea uchaguzi wa nyuma 2020. Sina imani kukosa tume huru.
 
Tui
 
Waziri anatoa takwimu za Mikoa

Data za mtaa utazikuta kwa Mtendaji wako 😂
Una haki ya kupata data hizi ya kata zote nchini, siyo kazi yao kutupangia zipi zinatufaa, nikihitaji data za mitaa ya temeke na mimi nipo ilala natakiwa kuzipata zote, ni kazi yao kuhakikisha tunazipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…