Uandishi [uu] humetoka wapi?

Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanaondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
Hizo unazoita shule mbovu, inaizidi ubovu wa shule yako? Matamshi gani haya?
 
Nadhani ni athari za lugha zetu hizi zs makabila..kuna watu wengine wana elimu nzuri tu ila wanaandika huo upuuzi
 
Hizo unazoita shule mbovu, inaizidi ubovu wa shule yako? Matamshi gani haya?
asa ujioni na wewe kichwa ni kibofu. ani kama humeona ninakosea, si ndo inathibitisha huwepo wa tatizo? uu si ndiho mfano hili hujue tatizo? Kwani tatizo ni kuniponda mimi ama tatizo ni uahandishi mbofu? apo sasa humejadili tatizo kweli? Hondoa kamasi kwa kichwa yako.
 
Kwanini mnashindwa kumuelewa mtoa mada na anawafundisha/kuwauliza kwa mifano kabisa? Mnadhani anakosea kwa bahati mbaya?

Mtoha mada mimi nimekuhelewa kabisa. Ili ni tatizo la Taifa sasa. Ni kama tatizo ra 'r' na 'l' rinavyoshika kasi sasa ivi..................
 
Na kuna haka katabia kengine la kuandika xaxa badala ya sasa...

Kananihuzi sana ako katabia...
 
Na kuna haka katabia kengine la kuandika xaxa badala ya sasa...

Kananihuzi sana ako katabia...
Mwanzo nilidhani hili tatizo la xaxa ni la mabeki tatu home na ma teeneger wa 19 years ila aisee sio. Watu usiowategemea kabisa anakuandia xaxa au ciendi
 
Ushafeli wewe. aujui kinachohendelea
Hameshindwa kuehelewa swali alafu hanajibu hanavyotaka yeye. Awa ndio wanafeli mitiani alafu wanasingizia mwalimu akuwafundisha vizuri
 
Yaani walivyoshindwa kukuelewa, na jinsi ambavyo wameshindwa kumwelewa mleta mada, hakika tuna safari ndefu!!
Ata mini nimewashangaha sana. Mleta mada kawabamba kweli kweli...

Watu wanatoha mapovu balaha...
 
Mwanzo nilidhani hili tatizo la xaxa ni la mabeki tatu home na ma teeneger wa 19 years ila aisee sio. Watu usiowategemea kabisa anakuandia xaxa au ciendi
Inafikirisha sana mkuu..
 
Ondoa usaha kichwani kwako.
 
Mwanzo nilidhani hili tatizo la xaxa ni la mabeki tatu home na ma teeneger wa 19 years ila aisee sio. Watu usiowategemea kabisa anakuandia xaxa au ciendi
Na wale wa kuandika mm badala ya mimi, sn badala ya sana huwa natamani kuwatandika makofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…