Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo unazoita shule mbovu, inaizidi ubovu wa shule yako? Matamshi gani haya?Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanaondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
asa ujioni na wewe kichwa ni kibofu. ani kama humeona ninakosea, si ndo inathibitisha huwepo wa tatizo? uu si ndiho mfano hili hujue tatizo? Kwani tatizo ni kuniponda mimi ama tatizo ni uahandishi mbofu? apo sasa humejadili tatizo kweli? Hondoa kamasi kwa kichwa yako.Hizo unazoita shule mbovu, inaizidi ubovu wa shule yako? Matamshi gani haya?
Yaani kiukweli kabisa hukumwelewa mleta mada?Kile unachokataa, ndio unachohubiri!!
Na kuna haka katabia kengine la kuandika xaxa badala ya sasa...Kwanini mnashindwa kumuelewa mtoa mada na anawafundisha/kuwauliza kwa mifano kabisa? Mnadhani anakosea kwa bahati mbaya?
Mtoha mada mimi nimekuhelewa kabisa. Ili ni tatizo la Taifa sasa. Ni kama tatizo ra 'r' na 'l' rinavyoshika kasi sasa ivi..................
Yaani walivyoshindwa kukuelewa, na jinsi ambavyo wameshindwa kumwelewa mleta mada, hakika tuna safari ndefu!!😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Mwanzo nilidhani hili tatizo la xaxa ni la mabeki tatu home na ma teeneger wa 19 years ila aisee sio. Watu usiowategemea kabisa anakuandia xaxa au ciendiNa kuna haka katabia kengine la kuandika xaxa badala ya sasa...
Kananihuzi sana ako katabia...
Hameshindwa kuehelewa swali alafu hanajibu hanavyotaka yeye. Awa ndio wanafeli mitiani alafu wanasingizia mwalimu akuwafundisha vizuriUshafeli wewe. aujui kinachohendelea
Ata mini nimewashangaha sana. Mleta mada kawabamba kweli kweli...Yaani walivyoshindwa kukuelewa, na jinsi ambavyo wameshindwa kumwelewa mleta mada, hakika tuna safari ndefu!!
Inafikirisha sana mkuu..Mwanzo nilidhani hili tatizo la xaxa ni la mabeki tatu home na ma teeneger wa 19 years ila aisee sio. Watu usiowategemea kabisa anakuandia xaxa au ciendi
Na wewe sasa ivi laia wa JF watahanza kukutorea povu!!Ata mini nimewashangaha sana. Mleta mada kawabamba kweli kweli...
Watu wanatoha mapovu balaha...
Haisee... uyu mleta mada katugehuza machizi walai...Na wewe sasa ivi laia wa JF watahanza kukutorea povu!!
Yaani kiukweli kabisa hukumwelewa mleta mada?
Duh ushajua mpaka jinsia yake. Kweli wewe ni LegendKwa vile mleta mada ni demu, basi namsamehe. Mademu huwa wako direct, sitaki nataka.
Ondoa usaha kichwani kwako.asa ujioni na wewe kichwa ni kibofu. ani kama humeona ninakosea, si ndo inathibitisha huwepo wa tatizo? uu si ndiho mfano hili hujue tatizo? Kwani tatizo ni kuniponda mimi ama tatizo ni uahandishi mbofu? apo sasa humejadili tatizo kweli? Hondoa kamasi kwa kichwa yako.
Na wale wa kuandika mm badala ya mimi, sn badala ya sana huwa natamani kuwatandika makofiMwanzo nilidhani hili tatizo la xaxa ni la mabeki tatu home na ma teeneger wa 19 years ila aisee sio. Watu usiowategemea kabisa anakuandia xaxa au ciendi