Uandishi wa Erick Kabendera 2014/2015 ulikuwa chini ya kikosi Cha Kinana

Hata kama nisifike, bado I have something I'm proud of...kama ambavyo huwezi kuelewa mathematics, pia huwezi kujifunza lugha ngeni kama wewe ni kilaza, pia huwezi kutawala vizuri, ndo maana mjinga wenu anahangaika kushinda kwa waganga!
 
Sasa kwanini utake kutumia lugha ya kigeni kama huimudu? Huoni kwamba utapotosha?
 
Mkuu Kifupi Kirefu,
itakuwa humjui Erick Kabendera wala hujasoma anachoandika. Erick has never been like that, ungesema watu kama akina sisi, ndio ingekuwa sawa, but not Erick Kabendera.

P

Mkuu mada zako, za "Economist wanamtukana Rais", unajisikiaje Kabendera kuwekwa ndani?
 
Mkuu mada zako, za "Economist wanamtukana Rais", unajisikiaje Kabendera kuwekwa ndani?
How does it relate to the arrest of Kabendera? Mnamuonea Pascal.Kama Erick alikuwa na uthubutu wa kuandika, naamini pia ana uthubutu wa kupambana na changamoto zake, bila kumsingizia mtu mwingine. Huo ndio ukomavu wenyewe kwa yale unayoyaamini. Ukiona mtu nusu nusu, ujue hamna kitu hapo.
Kwangu mimi namtakia kila la kheri Eric. Mwisho wa yote, tunapata yale tunayoyahangaikia
 
Unataka kusema hujawahi kuona hicho kitu mahali pooote pale ambapo waandishi wanaandika kufuata upnde wao kiitikadi? Lazima utakua unadanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…