Uandishi wa habari nao si mchezo

Uandishi wa habari nao si mchezo

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Posts
1,747
Reaction score
386
Jana nilikuwa naangalia CNN nika muona mwana mama(Sara Sidner) mmoja aki-report toka Thailand
kwa wale jamaa wa mashati mekundu.
Kutokana na hilo niliamua kumtafuta kwenye mtandao ili nifahamu zaidi.
Baada ya kuingia YouTube nikakutana na video ambayo ni ya siku nyingi ila ndipo nilipoipata hiyo heading "Uandishi na wa habari nao si mchezo"



CNN Programs - Anchors/Reporters - Sara Sidner
 
Last edited by a moderator:
Du hii kazi kwa kweli yataka moyo. Jamaa wana jazba kwelikweli.
 
Back
Top Bottom