B Binti mzuri Member Joined Jun 1, 2014 Posts 16 Reaction score 4 Feb 1, 2015 #1 Nina taka kuandika kitabu cha mapishi YA WATOTO ila sijajua ,je nahitaji kukipeleka ️KWA wizara YA Afya ,Au dakatr akipitie au inakuwaje! Na vp wale wakukisahihi lugha lazima niwapelekee?naombeni mwongozo
Nina taka kuandika kitabu cha mapishi YA WATOTO ila sijajua ,je nahitaji kukipeleka ️KWA wizara YA Afya ,Au dakatr akipitie au inakuwaje! Na vp wale wakukisahihi lugha lazima niwapelekee?naombeni mwongozo