Binti mzuri
Member
- Jun 1, 2014
- 16
- 4
Nina taka kuandika kitabu cha mapishi YA WATOTO ila sijajua ,je nahitaji kukipeleka ️KWA wizara YA Afya ,Au dakatr akipitie au inakuwaje! Na vp wale wakukisahihi lugha lazima niwapelekee?naombeni mwongozo