Uaneni!!!!

Uaneni!!!!

eddy27

Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
25
Reaction score
19
RC7: ndugu yangu mwaka huu 2015 tuzo ya mchezaji bora ulaya yako
MESSI: aaah! braza co kweli kabisa kwann?
CR7: umetoa mchango mkubwa sana
MESSI: sawa ila naimani 2016 itarudi kwako maana dah!
CR7: vipi tena mbona una hofu?!
MESSI: kila unavyo zeeka na kiwango kinaongezeka
CR7: ha ha ha messi unazingua ila tupishane hivi hivi mpaka tutakapo staafu
MESSI: poa broh ila wajinga ndo waliwao c tupge pesa wao wagombane kwa ajili yetu
CR7: waache wauane ndo sadaka zenyewe hizo sisi huku tunamiliki pesaa.
 
Back
Top Bottom