Uanzishaji Wa Thread Pasipo Mpangilio Ndani Ya Chit-Chat

Kwani CC ni sehemu ya kutafutia umaarufu? Na huo umaarufu unakuja kwa kuanzisha thread nyingi eeh! Habari za asubuhi mbaya mshahara nimekuta hujaingia bado
wewe ujue unawachosha wale wasiokuwa na majina humu CC au hujui hilo...
habari ya asubhi
 
That's my daughter...

 

Nikupe zawadi gan? Umeukuna mtima wangu.
 

Mpenzi umenikuna kwenye mtima, kuna siku hapa thread iliandikwa kwamba ''uzalendo wetu uko wapi'' ikiwa na lengo la kuwaambia wana CC habari ya kuacha kuandika thread zisizo na mashiko lakini naona ilikuwa kama mbuzi anapigiwa gitaa.....CHANGE NI MIMI NI WEWE....
 
kwa mawazo ya mimi sioni tatizo hao 13 au 11 waliochangia wanaona inafaa na si ya kitoto na hauwezi kumzuia mtu asianzishe uzi kwa madai kwamba unajaza server ya bure hilo halipo! kwani kila mtu anayo haki ya kupost uzi mpya but zingatia vigezo na masharti ya jf only.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…