Uanzishwaji wa taasisi ya kusaidia jamii

Joined
Feb 1, 2018
Posts
8
Reaction score
9
Niko kwenye prosses za kusajili taasisi ya kusaidia jamii hasa wanafunzi na vijana walioko kwenye mazingira magumu.

Taasisi hiyo itaitwa NOVA INUA ORGANIZATION (NIO) yenye lengo la kusomesha wanafunzi na kuwapatia mahitaji muhumu na kuendeleza ustawi wa jamii kwa kutoa elimu ya afya bora na kutunza mazingira pamoja na usalama.


Naomba kwa yeyote anayeguswa kufadhili au kutuunganisha na wafadhili kukuza taasisi hii Mungu akubariki sana.

Tunapatikana kwa namba 0674992499
email: Novainuaorganization@gmail.com
 

Jambo zuri sana kuwasaidia wahitaji kama hao vijana na wengine.

Nafikiri ni muhimu ukatoa na tovuti (website) yenu ambapo wadau wanaweza kupitia kufahamu zaidi kuhusu taasisi hiyo ikiwemo malengo yake kwa mapana, namna ya uendeshaji, mission and vision, nk.

Kila la kheri.
 
bado niko kwenye hatua za mwanzo hatujawa na tovuti bado.lakini itakuwepo baada ya kukamilisha usajili
 
Nenda kwenye AI zitakulink na wafadhili wa nje huku uwe unapost post shughuli kazi zako zionekane kwenye mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…