Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo, tarehe 02 Novemba, 2026, atawaapisha viongozi wafuatao aliowateua hivi karibuni:
1. Bi. Angeline Lubala Mabula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora;
2. Bw. Dunford George Mpelumbe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora; na
3. Bw. Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora; na
4. Jaji Mstaafu Wilfred Peter Dyansobera kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi, pamoja na Makamishna ya Tume hiyo.
Uapisho wa viongozi wateule utafanyika saa 05:00 asubuhi, Ikulu Chamwino, Dodoma.