Uashauri jins ya kuagiza gari

Uashauri jins ya kuagiza gari

god with us

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
391
Reaction score
100
Wakuu natumai hamjambo nilikuwa naomba msaada wa kujua jins ya kuagiza gari kuanzia jinsi ya kulilipia na malipo litakapofika hapa tz Garama za TRA .Engene capacty ni cc 2360 na ni la mwaka 2001
Natumain ushaur wenu
 
Back
Top Bottom