Uasi mkubwa unakuja CCM

Exactly, lile tamko la JWTZ siyo la kawaida hii nchi haipo shwari kama watu wanavyodhani na ninaposema haipo shwari nina maana ndani ya vyombo vya usalama kuna tatizo.
Itakuwa, hata Magufuli alipokuwa hoi na hata mauti kumkuta, wakubwa wanakuambia yupo ofisini akiendelea na kazi.

Siwezi shangaa kama kutakua na mikwaruzano ya chini kwa chini na mivutano.
 
tatizo la sukuma gang ushamba mwingi, msoga gang wapo smart sana kwenye propaganda na hapa ndo wanawawin kirahisi sukuma gang bila wao kujua.
Sukuma gang mistake walioifanya ni moja tu, kumuweka Msoga Gang member mmoja kwenye nafasi kama ile pasipo kujua kuna leo na kesho.

Tofauti na hapo Msoga gang mpaka sasa walikuwa na hali mbaya.
 
Swali fikirishi.
Hivi Makamu wa Rais wa SSH yuko wapi mbona hatumsikii hata kumwona kwenye dhifa. Ako masomoni au?
 
mnapenda kutafuta sababu ya kumkosoa mwendazake kila sehemu inapotakiwa kusifia hata kama nafsi zenu zinakiri alifanya jambo la maana.

embj nikuulize,jamaa katika baraza lake hawa erites walikuwepo kwa sababu zipi kama hakuwa na mpango nao!!!

yeye hakutaka mazoea ya kix3nge kama ya sasa mtu kujiona chama ni mali yake,mpaka kufikia kujimilikisha mali za chama.
 
Nimejikuta nikikumbuka ile sentesi ya mwisho kwenye clip ya Ndugai.."utanifanya nini.'
 
Waziri kutishiwa bastola hadharani na baadae waziri huyo kufurumushwa sio kosa.
wa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…