Kingereza ni kugha kubwa duniani kuliko hata kiswahili, matter of fact, mitaala ya elimu ya nchi nzima,sheria za nchi nzima, hata ku conduct business nie or activity yoyote serikal inafanya nje inafanya in englishMleta mada ,Watanzania tunajua kiswahili hicho kingereza chako peleka uingereza huko kwa wakoloni unaowaabudu kama Mungu
Watanzania hatukihitaji kiswahili kinatutosha
.Nenda kaongee na waingereza huko kwao
Watanzania nchi huru iliyojikomboa hadi lugha hatutumii ya mkoloni tumewaachia wakenya waabudu wakoloni na vibaraka wao akina Tundu Lisu
Sipingi ,Peleka huko nje ya Tanzania wanakoiona klngereza Lugha kubwa .Kingereza ni kugha kubwa duniani kuliko hata kiswahili, matter of fact, mitaala ya elimu ya nchi nzima,sheria za nchi nzima, hata ku conduct business nie or activity yoyote serikal inafanya nje inafanya in english
So yes , english ni kama maji tu, si vibaya ukajifunza
Kama uelewi sema usaidiwe bwana, acha kupick small fightsSipingi ,Peleka huko nje ya Tanzania wanakoiona klngereza Lugha kubwa .
Tanzania iache na kiswahili chake hasa hiyo meseji iwakute wanaharakati nje wajao nchini .Wajue kabisa Tanzania ni nchi ya kiswahili sio kingereza
Kingereza chao na ujuajijuaji wa ma vingereza yao ya uana harakati mwisho uwanja wa ndege wa Kimataifa..
Majority ya watanzania hawaelewi hicho kingereza cha wanaharakati wa Kenya au Tanzania
Wanaelewa kiswahili zaidi sio hicho kingereza cha akina martha karua,mwangi aghatger nk
Hujajibu swali,Mleta mada ,Watanzania tunajua kiswahili hicho kingereza chako peleka uingereza huko kwa wakoloni unaowaabudu kama Mungu
Watanzania hatukihitaji kiswahili kinatutosha
.Nenda kaongee na waingereza huko kwao
Watanzania nchi huru iliyojikomboa hadi lugha hatutumii ya mkoloni tumewaachia wakenya waabudu wakoloni na vibaraka wao akina Tundu Lisu
Kwa hiyo alitaka apelekwe kama mwanakondoo Yesu ambaye hakupigwa pingu kwani yeye Yesu?Na hii ya Torture extra judicial killings abductions kwa pamoja sijui inaitwaje?
View: https://youtu.be/D2TLM7KncmM?si=OCKJvsRijU4Z0Vfx
Unajustify unyama na nchi kuendeshwa kidikteta bila kufuata sheria za nchi?Kwa hiyo alitaka apelekwe kama mwanakondoo Yesu ambaye hakupigwa pingu kwani yeye Yesu?
DID LISU COMMIT ANY ACT?other acts
Mimi nimejaribu kutafuta knowledge nione kama manenoya lisu treasonable! ni hilo tu!Mr Retired Treason and Subversion are cognate terms which encompass a family of offences such as mutiny, assassination of political leadership, sabotage and other acts which involves the breach of allegiance.
Fine, Lisu amefaya nini to achieve that end?Rebellion ni kupinga mamlaka, sheria au utawala uliopo.
Treason kama inavyo julikana uhaini, naweza kusema ni kosa la kufanya jaribio la kutaka kuipindua serikali yako iliyopo madarakani.
Alicho kifanya ni namba moja lakini kwa wenye nchi imetafsirika kama namba mbili,, that's all.Fine, Lisu amefaya nini to achieve that end?
ELEWA "ACT",LISU AMEFANYA ACT GANI?Alicho kifanya ni namba moja lakini kwa wenye nchi imetafsirika kama namba mbili,, that's all.
Rudia kusoma pia nilicho andika, nimekuelewa sana.ELEWA "ACT",LISU AMEFANYA ACT GANI?
DID LISU COMMIT ANY ACT?
Mimi nimejaribu kutafuta knowledge nione kama manenoya lisu treasonable! ni hilo tu!