PreGE2025 Uasi ni nini? Rebellion ni nini? Uhaini ni nini?

PreGE2025 Uasi ni nini? Rebellion ni nini? Uhaini ni nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuasi/kuhaini ni kuzuia safari ya wengi waliokubaliana iwe hivyo kabla ya muda kwenye muda(mfano,mashindano ya baiskeli kilomita 50 yataanza na wazo,kibali,kuanza mwendo na hitimisho)Walipokubaliana wakaandaa mfumo wa kuyalinda hayo,wakauita Jamhuri iliyo chini ya katiba kwa ngazi ya Taifa na Itifaki iliyochini ya uaminifu kwa ngazi ya kimataifa.(Dunia ina nguvu licha ya kuwa tambala mbovu lisilo la kuweka ndani mazima).Haihusiani na mtu fulani ila mfumo tu ndo husimamiwa.
Sawa ingelipende kama ungelileta legal explanation. asante for your thinking.
 
Mleta mada ,Watanzania tunajua kiswahili hicho kingereza chako peleka uingereza huko kwa wakoloni unaowaabudu kama Mungu

Watanzania hatukihitaji kiswahili kinatutosha
.Nenda kaongee na waingereza huko kwao

Watanzania nchi huru iliyojikomboa hadi lugha hatutumii ya mkoloni tumewaachia wakenya waabudu wakoloni na vibaraka wao akina Tundu Lisu
We jamaa umebong'oa mpaka akili sasa imehamia matakoni....mpuuzi sana
 
Mleta mada ,Watanzania tunajua kiswahili hicho kingereza chako peleka uingereza huko kwa wakoloni unaowaabudu kama Mungu

Watanzania hatukihitaji kiswahili kinatutosha
.Nenda kaongee na waingereza huko kwao

Watanzania nchi huru iliyojikomboa hadi lugha hatutumii ya mkoloni tumewaachia wakenya waabudu wakoloni na vibaraka wao akina Tundu Lisu


Wewe kweli punguani!!

Ebu orodhesha hapa official languages za Tanzania.
 
Wewe kweli punguani!!

Ebu orodhesha hapa official languages za Tanzania.
Kiswahili mahakama Kiswahili, bunge Kiswahili, serikalini Kiswahili madokezo

Kingereza cha wakenya na waganda walioshindwa kumtoa mwingereza kwenye vichwa ,elimu na lugha zao sababu ni mabwege hawaelewi kuwa kupata uhuru ni pamoja na kuachana na lugha ya mkoloni kama lugha ya taifa au official

Huwa nacheka sana nikiona wakenya au waganda wanaongea kingereza bungeni nk utafikiri hawana lugha zao

Wana ukoloni vichwani mwao na wanajisikia raha kuongea lugha ya mkoloni kwa usahihi wapumbavu na mabwege

Watanzania tunasifiana kuongea Kiswahili fasaha sio Kingereza lugha ya mkoloni fasaha hayo tunawaachia mabwege wa kenya na Uganda wenye colonial mentality
 
Back
Top Bottom