Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Nchi za waarabu ni ushamba tu mwingimapigano
Na huu ndio ukweliPutun yuko wapi?
Sauti ya kobazi wakilia kwa uchungu kumlilia anayebanwa kende na Ukraine 🤣🤣
Kuna la kujifunza hapo
Putin aliwahi mbio sana kumuokoa, angechelewa kidogo tu ingetokea Qaddafilization.Ila Assad ni mtu Strong sana aisee. Hii Vita ni zaidi ya Miaka Kumi sasa ila bado tu amekomaa