Moja kwa moja kwenye mada. Wahadzabe ni kati ya makabila madogo, na yenye utamaduni adhimu kabisa nchini, wamekuwa na mambo yao bila kuingiliwa kwa miaka mingi hivyo tamaduni yao kubaki kama ilivyo, pamoja na ecologia yao.
Lakini miaka ya karibuni, wamekuwa wakiingiliwa hasa na wazungu na wengine, kujaribu kuwarubuni na kuwafundisha vitu vigeni ambavyo kimsingi vitawaaribia mifumo yao ya kuishi, mpaka ya kibaiologia ,hasa mfumo wa chakula. Ambao wao ni tofauti kidogo na sisi. Ime adapt maji kidogo sana, nyama nyingi na mimea.
Sasa hivi, wapo exploited, utawakuta tiktok, Instagram na pengine, wanapoteza ile uasili wao na shauku.
Serikali idhibiti hili suala. Access isiwe rahisi rahisi tu. Hawafaidiki na lolote na hawajataka ata simu ila mkishawaonesha watataka.