mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kula manyani na wadudu ndo ujanja?Ujinga wao ni upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula manyani na wadudu ndo ujanja?Ujinga wao ni upi?
We kula ng'ombe na dagaa ndo ujanja?Kula manyani na wadudu ndo ujanja?
Kwani walikwambia maisha yao ni duni? Wamekuwa wakiishi hivyo kwa raha na amani. Hayo ndio maisha yao.
Hili la dini lilikuwa kutupiga tu n kututawala.Hata nyie mlikua mnaishi hivyo kabla hamjaletewa elimu na dini.
Hili la dini lilikuwa kutupiga tu n kututawala.
Ibn batuta alivyokuja Karne ya kwanza alikuta miji na ustarabu pembezoni mwa bahari ya Hindi na kusadifu uzuri wa miji yao.
Hao watu Mungu wao ni Jua
Na jua ndio chanzo Cha maisha hapa duniani.
Hawana Kuzimu Wala motoni
Sasa dini gani ambayo hawana
Kwani wao wamelalamika? Uduni ni wewe unaona. Ata wewe kina Elon musk wanakuhurumia. Its subjective. Wanakula, wanaishi!Kwanini mnataka wahadzabe waendelee kuishi maisha duni?
Kwani wao wamelalamika? Uduni ni wewe unaona. Ata wewe kina Elon musk wanakuhurumia. Its subjective. Wanakula, wanaishi!
We unataka wale chips? Ndio mnaona mmeendelea au? Wanaishi kuliko wewe, wanakula vitu natural, tumbo lao limeadapt miaka na miaka. Nyie ndio mnataka kuwaletea utaratibu mpya kwa kuhisi mmeendelea. Unafahamu ugali ni chakula duni sana kinadumaza akili?Wanakula nini? Wanaishi miaka mingapi (life expectancy)?
We unataka wale chips? Ndio mnaona mmeendelea au? Wanaishi kuliko wewe, wanakula vitu natural, tumbo lao limeadapt miaka na miaka. Nyie ndio mnataka kuwaletea utaratibu mpya kwa kuhisi mmeendelea. Unafahamu ugali ni chakula duni sana kinadumaza akili?
Hivi we una akili kweli? Ata huyo duduke na wenzie wote wamezidi 30, unashindwa ata kutumia common sense?Unaropoka.
Life expectancy ya wahadzabe ni 30yrs.
Kula chips ni Bora kuliko wanavyokula sasa nyama pori mbichi. Na maendeleo sio kula chips au ugali tu.
Maisha ya wahadzabe ni duni. Maisha ya watanzania tu ni duni let alone hao wahadzabe. Uduni sio sifa. Acheni sifa za kijinga.
Hivi we una akili kweli? Ata huyo duduke na wenzie wote wamezidi 30, unashindwa ata kutumia common sense?