Ubabaishaji? Simba wa ahirisha kuzindua jezi

Ubabaishaji? Simba wa ahirisha kuzindua jezi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Jambo hili limewakera mno wanasimba mtandaoni ambao hawaja acha kuonyesha hasira zao kwa viongozi wao.

Timu kubwa Kama Simba ku ahirisha shughuli?what is going on?
 
Jambo hili limewakera mno wanasimba mtandaoni ambao hawaja acha kuonyesha hasira zao kwa viongozi wao.

Timu kubwa Kama Simba ku ahirisha shughuli?what is going on?

Utopolo,shughuli ya jirani kwanini waivalia kibwaya [emoji196][emoji196]
 
Ukijua msukule ni kiumbe ambacho kilichachanganywa akili na hakijui jambo lolote zaid ya kufanyishwa kazi na kula chochote kilicho mbele yake ndo hao utopolo
 
Kama watu tayari wameshanunua Jezi, huo uzinduzi utawachukizaje?.

Uzinduzi ni utaratibu wa mbwembwe za matangazo tu, utafanyika kwenye ile wiki ya skukuu ya wana-Simba. Wala hakuna kilichoharibika kwa kuwa bidhaa tayari zinapatikana
 
Kuvaa jezi ina watu waliokufa kwenye vita vya Majmaji na wengine walizama baharini hilo limewaathiri sana akili utopolo. Kila kitu cha Simba wanakitaka!
Nyie mshazindua basi ridhikeni. Simba imezindua kisasa na Wala hatuhangaiki na mambo ya uto.
Mke ukiachwa achika sio poa kua king'anga'anizi.
 
Hawaamin kinachoendelea
Nchi imesimama aiseh.

Kule kuvunja ndio kumepelekea mzigo uende kwa kasi ya ajabu[emoji16]

Wao zilikuja 65.
Zimeisha.
Wanasubiri zije na meli [emoji23]
Nipo Morogoro Hapa Masika Kuna Duka Linauza Jezi Za Simba Asubuhi Watu Wananunua Na Kuvaa
Jana Dodoma Watu Wengi Sana
Hawa Wananchi Wanahaha
 
Hawaamin kinachoendelea
Nchi imesimama aiseh.

Kule kuvunja ndio kumepelekea mzigo uende kwa kasi ya ajabu[emoji16]

Wao zilikuja 65.
Zimeisha.
Wanasubiri zije na meli [emoji23]
Sio nchi Bali Africa nzima imesimama. Wanajaribu kupotosha wapi bana ukweli haufuchiki hata siku moja.
 
Nipo Morogoro Hapa Masika Kuna Duka Linauza Jezi Za Simba Asubuhi Watu Wananunua Na Kuvaa
Jana Dodoma Watu Wengi Sana
Hawa Wananchi Wanahaha
Bila shaka ni Hilo linaloangalia road lina milango aluminium..

Niko zangu Dom
Mzigo unagombaniwa hatar.
 
Sio nchi Bali Africa nzima imesimama. Wanajaribu kupotosha wapi bana ukweli haufuchiki hata siku moja.
Mm si mvaaji wa jezi kiukweli.
Ila kwa hii hatimaye nimeshawishika aiseh.

Ila Sasa moe asitukere tena kwa kutaka kutengeneza mwenyewe.
Mo haamin kama vunja bei kafanya mapinduzi. Aache tamaa ya kutaka kutengeneza yeye.
Ye alishindwa kabisa
Walikuwa wanatuletea mijez ya ajabu ajabu.

Ila navaa bila wasiwasi.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Hawaamin kinachoendelea
Nchi imesimama aiseh.

Kule kuvunja ndio kumepelekea mzigo uende kwa kasi ya ajabu[emoji16]

Wao zilikuja 65.
Zimeisha.
Wanasubiri zije na meli [emoji23]
Jezi Yanga wafanyabiashara wamenunua mzigo mkubwa wanauza hadi elfu 60 while wao,hii leo maduka ya mitaani jezi ya Yanga kwa elfu 35 upati,za mikia leo hii elfu 10 unapata jezi zote 3
 
Back
Top Bottom