Ubabaishaji wa haloteli na sms ya 75% ya kifurushi, halotel hawajui mahesabu

Ubabaishaji wa haloteli na sms ya 75% ya kifurushi, halotel hawajui mahesabu

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
11,837
Reaction score
17,412
Habari za jioni wakuu,natumai wazima.

Nimechoshwa kabisa na hii tabia ya halotel kutuma sms ya kubakisha 75% za kifurushi wakati haujafanya jambo la maana.

leo saa nne na robo asubuhi (10: 15) nilijiunga kifurushi cha wiki cha mb 440 kupitia halopesa(megabando).

CHa kushangaza saa nne na dakika 38 (10:38) asubuhi natumiwa sms kwamba nimetumia 75% ya kifurushi yaani 75% ya 440Mb.

Saa nne na dk 39(dk 1 mbele) naangalia salio nimebakiwa na MB 388,huu si wizi huu ? Yani mtandao mkubwa kama huu wanakuwa na mahesabu ya hovyo ?

Kimshesabu tu 75% ya 440 ni sawa na MB 330.

MBona nikiangalia salio nakutana na MB 388 ambayo sio 75%.

75% ya 440Mb ni sawa na Mb kama 110mb,yaani unatumiwa meseji ya kutumia 75% ila ukiangalia salio unakuta zimebaki zaidi ya hizo 75% ?

Mbona haloteli mnatufanyia haya mauzauza ?

Meseji za uthibitisho ziko hapa chini hawa haloteli wanatufanyia uhuni.
Screenshot_20230716-175428_Messages.jpg
Screenshot_20230716-183043_Messages.jpg
 
Tafuta pesa, kujiunga na bando utakuwa hauzimi data kwanza na simu yako itakuwa online 24 hours.

Kununuwa Mb 440 ni dalili za umaskini ingawa hata Mimi siyo tajiri.
 
Karibuni nahama huu mtandao ni wa kiwiziwizi sana aisee
 
Back
Top Bottom