SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Nafikiri inategemea matatizo yanayopatikana ni kulingana na situation siyo kwamba ndivyo KQ walivyo.
Ninapata neema ya kutumia KQ kama mara 8 kwa mwaka na huwa sipati matatizo haya mnayosema. Changamoto ninayopata ni kama muda wa kuunganisha ukiwa mdogo Nairobi basi mzigo unabaki na ninaupata kesho yake.
Kwa hiyo naamini KQ ni wazuri ila zipo changamoto ambazo watu wengine wanazipata lakini zinategemea na mazingira au hali inayokuwa imetokea siku hiyo, kwani hakuna kazi yoyote ambayo haina changamoto.
It's just a matter of time, mkuu!!