SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Nafikiri inategemea matatizo yanayopatikana ni kulingana na situation siyo kwamba ndivyo KQ walivyo.
Ninapata neema ya kutumia KQ kama mara 8 kwa mwaka na huwa sipati matatizo haya mnayosema. Changamoto ninayopata ni kama muda wa kuunganisha ukiwa mdogo Nairobi basi mzigo unabaki na ninaupata kesho yake.
Kwa hiyo naamini KQ ni wazuri ila zipo changamoto ambazo watu wengine wanazipata lakini zinategemea na mazingira au hali inayokuwa imetokea siku hiyo, kwani hakuna kazi yoyote ambayo haina changamoto.
Always! Kenyans means BUSINESS! hivi hawajui bado damuni mwetu tuna chembechembe za ujamaa,upole na respect.
you just wait when the EAC free flow of labours is at it boom state.
NIKIWA DUBAI NA WA-TZ WENZANGU JAMAA WALITUZINGUA SANA TENA SANA TU..... Wanatuambia ndege imejaa wakati tuna- boarding passes....AKIJA MZUNGU ANASHUSHWA MWEUSI MMOJA KWA TABASAMU KUBWA...IT WASNT FAIR AT ALL
Acheni kupanda pandeni Qatar Air ways mtaenjoy
Avoid Kenya airways
Avoid Nairobi Airport
Sipandi KQ hata kwa nini
hahahahaaa GO GET YOUR OWN AIRLINE YOU BOZOS! Oh! i forgot. Tanzania airline is complete piece of sh!t.
kenya airline used to be pathetic, kenyan government made KLM a mjor shareholder. every tanzanian laughed at kenyans saying we do not even own KQ anymore. now KQ is a successful airline and the staff, WHO ARE KENYAN are now sh!tting all over tanzanians. bwahahaha just perfect.
i flew with KQ from Nairobi to Amsterdam and they served fish. i do not eat fish so the the server went and got me an endless supply of snacks and mango juice(my favourite) he even sat next to me and we just hangout for 15 minutes. the airline attended to my needs when and where they could.
i do not know what the hell you guys are complaining about. as far as i am concerned, KQ service is top class
Hata hawa Fly 540 nao wanaleta usanii sana siku moja abiria waliachwa pale airport niliwaonea huruma sana jamaa walivyomaliza check in wakaondoka na kuwaacha abiria kama 6 wakishangaa tu pale. walitoa jibu moja tu kua ndege imejaa