Endelea Kucheka tu. Wakati mtatandikwa na Malawi ndio mtashika adabu.Wameufyata
Ziwa lao,meli zetu.hahaha
Wamtandike nani? Unaisikia Tanzania tu? Wao wenyewe wanataka Huduma za meli zetu au unadhani routes za hizi meli ni wapi na wapi? Tanzania, Malawi, Mozambique.Endelea Kucheka tu. Wakati mtatandikwa na Malawi ndio mtashika adabu.
Mmm huu mradi ulikuwa moja kati ya miradi aliyoianzisha alipoingia ikulu??? Du labda nimesahau mimi!Hii nimeipenda sababu Magufuli kaamua kuijibu Malawi kwa vitendo hii ndio kati ya miradi ya kwanza kabisa kuianzisha alipoingia ikulu,
Sasa kinachofata ni oil exploration kwenye Lake Nyasa
Meli targets za Malawi Áir force, tusiombe vita.Ngoja tusubirie vijembe na kebehi as usual...
Halafu kuna watu wanafikiri Tanzania tunategemea mpaka wa Namanga tu, tunaweka masharti kwenye borders zetu sababu sisi ni matajiri wa Mipaka, kwa hizi meli tatu katika Lake Nyasa tayari sisi ndio dominant and influence kwenye borders businesses in Malawi and Mozambique.Now next tutafungua Navy Pale..
Let them own their waters, we just make money out of it.
Ni bahati sana Kuzaliwa Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania Is the Largest Economy In the region,Halafu kuna watu wanafikiri Tanzania tunategemea mpaka wa Namanga tu, tunaweka masharti kwenye borders zetu sababu sisi ni matajiri wa Mipaka, kwa hizi meli tatu katika Lake Nyasa tayari sisi ndio dominant and influence kwenye borders businesses in Malawi and Mozambique.
Usijidanganye, meli hizi lazima zipachikwe anti aircraft guns kwa usalama wa mizigo na abiria. Tanzania today oyee.Usijidanganye Malawi haina huo ubavu wa kutunisha misuli kwa Tanzania geographically, capability, economically and socially (wapo wamalawi wengi tu mwambao mwa Nyasa Tanzania)
Tanzania Is the Largest Economy In the region,
Hizi ndio indicators,
Someone must not tell us of stupid Cooked GDP,
Being Giant Must me proved by Dominance, and indeed Tz Dominates the Region in all aspects...
Any Kenyan must prove me wrong.
This is the bitter piece of truth for our counterparts, experts of cooked things thinking like nation's economy is driven by some twisted digits, potentials and movements of Tanzania is unquestionable to its permanent leading in the regional economyTanzania Is the Largest Economy In the region,
Hizi ndio indicators,
Someone must not tell us of stupid Cooked GDP,
Being Giant Must me proved by Dominance, and indeed Tz Dominates the Region in all aspects...
Any Kenyan must prove me wrong.
Mambo ya economics haitaki emotions. Ni mambo ya facts tu. Hivi unadhani world bank na IMF ni wazimu kusema Kenya ina GDP ya $70 bn dollars? Kama Kenya ingekuwa na Uchumi ndogo, kila mtu angejua, haingefichika. 1)Kampuni kubwa East Africa -Safaricom KenyaTanzania Is the Largest Economy In the region,
Hizi ndio indicators,
Someone must not tell us of stupid Cooked GDP,
Being Giant Must me proved by Dominance, and indeed Tz Dominates the Region in all aspects...
Any Kenyan must prove me wrong.
Sikujua Naeza fanya muende mafichoni namna hiiMambo ya economics haitaki emotions. Ni mambo ya facts tu. Hivi unadhani world bank na IMF ni wazimu kusema Kenya ina GDP ya $70 bn dollars? Kama Kenya ingekuwa na Uchumi ndogo, kila mtu angejua, haingefichika. 1)Kampuni kubwa East Africa -Safaricom Kenya
2) Airport kubwa E Africa- JKIA Kenya
3) Largest referral hospital E Africa- Kenyatta hospital Kenya
4 Largest port E Africa Mombasa port Kenya
5) Largest exporter of black tea in the world- Kenya
6) One of the largest exporters of cut flowers and vegetables to Europe- Kenya
7) Largest mobile money transactions in the world- Kenya
8) Largest wind farm in Africa -LTWP Kenya
9) Largest Geothermal power producer in Africa- Kenya.
10) The only built standard gauge railway in East Africa- Kenya
Naeza Endelea hadi Kesho Lakini wacha niwachie hapo nimechoka
Namba 2 Airport kubwa kivipi wakati JNIA itakuwa na uwezo wa kuhudumia zaidi ya abiria milioni tisa hapo mwakani? Na namba 10 ile ya Ethiopia si SGR? Na namba 3 MOI, JKCI, kidney center na Mloganzila campus ziko included kwenye MNH? Na inakuwaje referral hospital kuwa compared na National hospital? Ficha ujuha [emoji23] [emoji115]Mambo ya economics haitaki emotions. Ni mambo ya facts tu. Hivi unadhani world bank na IMF ni wazimu kusema Kenya ina GDP ya $70 bn dollars? Kama Kenya ingekuwa na Uchumi ndogo, kila mtu angejua, haingefichika. 1)Kampuni kubwa East Africa -Safaricom Kenya
2) Airport kubwa E Africa- JKIA Kenya
3) Largest referral hospital E Africa- Kenyatta hospital Kenya
4 Largest port E Africa Mombasa port Kenya
5) Largest exporter of black tea in the world- Kenya
6) One of the largest exporters of cut flowers and vegetables to Europe- Kenya
7) Largest mobile money transactions in the world- Kenya
8) Largest wind farm in Africa -LTWP Kenya
9) Largest Geothermal power producer in Africa- Kenya.
10) The only built standard gauge railway in East Africa- Kenya
Naeza Endelea hadi Kesho Lakini wacha niwachie hapo nimechoka
My friend, Forget cooked documents. I am talking about Dominance, from all spheres of Economy, Political, and Cultural .Mambo ya economics haitaki emotions. Ni mambo ya facts tu. Hivi unadhani world bank na IMF ni wazimu kusema Kenya ina GDP ya $70 bn dollars? Kama Kenya ingekuwa na Uchumi ndogo, kila mtu angejua, haingefichika. 1)Kampuni kubwa East Africa -Safaricom Kenya