Ubabe wa Tanzania: Meli kubwa mbili zilizojengwa na watanzania zazinduliwa kwenye ziwa lenye mgogoro

hongera Tanzania heko Magu. Tunaweza na tutaanza kutengeneza bithaa za ndani mwetu na nje ya mipaka yetu. [HASHTAG]#supportLocal[/HASHTAG]
 
hiyo Itungi port ni ya siku nyingi zilizozinduliwa ni Mv njombe na Mv Ruvuma
 
Hii nimeipenda sababu Magufuli kaamua kuijibu Malawi kwa vitendo hii ndio kati ya miradi ya kwanza kabisa kuianzisha alipoingia ikulu,

Sasa kinachofata ni oil exploration kwenye Lake Nyasa

Hapo kwenye bold umedanganya. Hizi meli ni ahadi za JK wakati wa kampeni za uchaguzi 2010 na utekelezaji wake ndio umekamilika hivi sasa. JK aliahidi meli mpya katika maziwa yote ya Nyasa, Tanganyika na Victoria. Kwahiyo, huo si mradi mpya ni mambo ya JK hayo.
 
Jakaya Aliona mbali sana

Hii mipango yake ndio tunaifaidi sasa

Sana tu kwa kweli. Kizuri hukioni mpaka kikutoke. Kila la heri JK na tutakumbuka daima kwa mema yote uliyotufanyia Watanzania wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…