Ubadhirifu aliobainisha CAG, nani alaumiwe?

Ubadhirifu aliobainisha CAG, nani alaumiwe?

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2016
Posts
2,668
Reaction score
3,751
Ndugu wanajukwaa habari zenu.

Kumekua na tabia ya kumshukuru mama hata umeme uliporejea jana baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kama wakazi wa Daresalam wamemshukuru mama.

Imekua kasumba serikali ikifanya shuhuli za maendeleo anasifiwa mama.

Mbona akikopa hamsemi amekopa mnasema serikali imekopa?

Sasa namalizia kwa kutakatu kujua je upotevu au hasara iliyosababishwa na watumishi wa serikali ninani alaumiwe?
 
Wa kulaumu hapa na Mama Samia Suluhu Hassan, rais wa JMT.
 
Back
Top Bottom