hao majamaa nawajua saaana tena we acha tu kwanza ili upate kazi ni lazima uwe msukuma au wa kanda ya ziwa na huyo zilihona ndo balaa kabisa utafikiri mama yake ndo alikianzisha hicho, kuna wakati alifukuza uongozi mzima wa serikali ya wanafunzi kisa eti aliechaguliwa bw. Dukho mayenga ana asili ua uchadema duh. kinatakiwa kimulikwe vizuri sana
jamani nisaidieni..hili lmekuwa sugu bongo..watu wanaenda kwa waganga ili wawe mabosi angali elmu ni butu ..imefikia watu wananuniana kisa tu hajapewa cheo..au alikwenda kusoma karudi anataka cheo angali wapo wenye elimu kubwa tu na wengine ni mad dr ...je hili ni haki...hili lipo sana vyuo vikuu sasa..mtu ana masters tu anataka cheo naye awe mkuu wa chuo...hebu jamani tusidharirishe elmu...yale yale ya NECTA.....KUFELISHA TU SASA..UNAONGEA NA DRS AND PROFS WEWE UNA KAMASTERS JAMANI KA SOCIOLOGY, PUBLIC ADM ....JE NI HAKI NYIE AMBAO MMESOMA HAD MA DRS AND PROFESORI
Nakubaliana na wewe, chuo cha mipango kwa sasa kinakosa hadhi kama ya zamani, licha ya ukabila uliopo katika kuajili bado kuna matatizo makubwa hasa baada ya uongozi wa Zilhona kuingia madarakani, kumekua na maamuzi ya kulala na kuibuka bila kufuata taratibu, imetokea mara nyingi wanafunzi wakiwa darasani wanafanya mtihani, Zilhona huwa akimkuta msichana amesuka nywele za bandia (rasta) anamtoa nje ya chumba cha mtihani na kumtaka aandike barua ya maelezo, hali ambayo inachangia sana katika kushusha uwezo wa mtu katika kufanya mtihani husika.
Pia nakumbuka mwaka mmoja uliopita kilikaa mwaka mzima bila kuwa na serikali ya wanafunzi, pia zilhona alipiga marufuku hata "Welcome first year" pasipo kuonesha kuwa fedha ambazo zingetumika kwa sherehe hiyo zimefanya kazi gani, kiufupi ni kuwa kama ni ubadhilifu na sheria za kushtukiza mipango ndo mahali pake.
"JIFUNZENI WENZENU WAMEPUKUPTIKA KMA MBELEWELE..NA WATU WANADUNDA..WALIWANYOSHEA HADI VIDOLE MACHONI LAKINI WAPO NA WAO WAMETOWEKA ..ANGALIENI ..MTATOWEKA HATA HUKO MLKO..MSIPENDE INGILIA MAISHA YA WATU NDUGU ZANGU."
ISSSHHHHIIIIIII ,,,,,.... ( kwa watani wetu wa kisukuma ni alama ya mshangao. au sio watani?)
Nkambi acha kutishia watu kifo, kufa booongo?? kufa ulaya bhana. kwani wakifa inakuuma nini wewe au unaona uchungu kutoa karambi rambi kakooo??? watu wamejilia gambe (UJIMBI) mpaka waka danja(wakafa) useme walilaaniwa. acha kuamini ushirikina labda kama ulihusika na kutoweka kwao. We acha watu watoe ya moyoni bhanaa " FIRIDOMU OFU SIPICHI. WEWE MWENYEWE HUJAANDIKA JINA LAKO, ALAFU UNAJIKUTA STERINGI kutetea yaliyo ya kweli. nipotezee kama vp.
ene wei baki tu ze pointi
Ila langu ni dogo sana kuhusiana na kichwa cha habari UBADHIRIFU kuna ka kampuni kamoja kanaitwa "OWEKO" nahitaji ufafanuzi kidogo maana top 3 of mngt wapo, kliki hii webusaiti www.oweco.co.tz alafu nenda OUR CONSULTANTS ujionee kitengo cha utafiti wapo, na wengine wapo wapo kuzuga au kupetezea maboya wenye SIIVI ya mistari mitatu (3). Hv kazi za utafiti za chuo kitengo chake ni "OWEKOOOOO" au RISECHI DIPATIMENTIIII? au ndio kabranchi//????? au ndio ka TWISHENI cha depatimenti ya resechi?? na hii ni kwa manufaa ya wachache walio kwenye ka kampuni ketuUU au kwa chuoooo?. Mbona magari na NAITI za madereva kufuatilia shughuli za kakampuni ketu zinatoka chuoni? au huu ni umbea??? sasaa haka ka TWISHENI kanaifaidishaje chuo??? natarajia kuna marejesho kidogo kwaajili ya chuo kwa matumizi ya hz RISOSI, JE KINA MASLAHI YEYOTE KWA CHUO?. sijamtaja mtu lakini .........au sio Nkambi "nimetupa kajiwe kangu kundini litakalo mpata samahaniii" SITARAJII KUTOWEKA HATA NIKILOGWA.
illlaaaa sasa na nyinyi msio na Vi TWISHENI kwenye dipatimenti zenyu mliopo hapo MIPANGO, mbona mnang'ong'ona ng'ong'ona tu mtaani mpaka yametufikia na sisi tusiowalengwa na bahati mbaya hatuna siri wala dogo? mnanishangaza sana hamna pakuyasemea? mbona kama mna mbwela mbwela kulisema hili?? hapo chuoni hakuna hata masanduku ya maoni??? AU NDO MNAOGOPA KUFA KAMA ASEMAVYO MDAU ALIETANGULIA????
AM OUT FELLAZ. NI HAYO TUUUU..............
:boink::boink::boink: :mimba: :attention::attention::attention:
hapo PCCB hutawasikia wamekamata mtu, wanakamata wanaokula sh. 500 walimu tuUkisoma mawazo ya wengi wano chnagia utajua ni aina ya gani ya watu wanaoandika..anyway...huku duniani vitu haviendi kwa majungu bali kwa haki, usawa na weledi....siku zote sari sana uwe mtenda HAKI..usipende kuwa mtu wa kutaka mambo amabyo mungu hajakuambia...nili watahadharisha kutumia majina ya watu humu kwani yanaleta picha mbaya..kwaza inaonekana jinsi gani kuwa kuna watu wanataka kitu fulani kwa majungu na unafiki...jamani..Mungu ndiye mwamuzi wa yote..jamii forum ni ya jukwaa la kila mawazo ..utumbo, mazuri, nk. lakini siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli. lakini nashangaa hii TZ wabaya huwa hawafi ..huyu Mungu sijui kwanini..wema huwa hawadumu...... .Nina mifano mingi ..kuna bosi mmoja amepigwa vita sana lakini wengi wamekufa yeye mzima. sali sana upate kiongozi amabye ataleta tija kwa taifa. kiongozi sio wa kutaka sifa kuwa yeye mzuri kiongozi ambaye atasukuma mambo. Tanzania ya leo inahitaji viongozi wenye kuchukua maamuzi magumu..kulisukuma gurudumu mbele. Tatizo watu tumejijengea fikrA ZA UMIMI, UBINAFSI NK. UNAJUA BWANA, MWANADAMU NI KAMA KINYONGA....HAKUNA SIKU ALIYOSEMA HAPO SAWA. HADI AENDE KABURINI. NA NDO MAANA WATU WANAJIJENGEA MAZINGIRA MAGUMU MAKAZINI , KWENYE FAMILIA ZAO NA HATA KUTOLUWA NA MAENDELEO YAO BINAFSI. TULIPO HAPA SIDHNI KAMA TUNAMUDA WA KUANZA KUSEMA HERI M ANAFAA KULIUKO Z WEWE WEWE...ACHA UTOTO HUO....SIKU ITAFIKA UTAJUA TU NANI. TUANGALIE TUSIJENGE UHASAMA..TUKAANZA KUKIMBIA MAHALI PA KAZI. JIFUNZENI WENZENU WAMEPUKUPTIKA KMA MBELEWELE..NA WATU WANADUNDA..WALIWANYOSHEA HADI VIDOLE
MACHONI LAKINI WAPO NA WAO WAMETOWEKA ..ANGALIENI ..MTATOWEKA HATA HUKO MLKO..MSIPENDE INGILIA MAISHA YA WATU NDUGU ZANGU. ISHI KWA KUHESHIMU MILA NA DESTURI , HESHIMA WENZAKO, FATA TARATIBU, TEKELEZA MAJUKUMU YAKO. HAYA ..YETU MACHO....
MIPANGO YA ZAMANI NI BORA KWELI WEWE KICHWA MAJI AISE WAKATI HAKUNA HATA DR 1 NI BORA KULIKO YA SASA...HILI NI SAWA NA KUFELI KWA NECTA .....NDO UTAJUA WALIMU MLIOPO HAPO JINSI GANI HAMJITAMBUI..KWA HIYO HATA WEWE NAWE KUMBE HUFAI ....AU KWA VILE HUJAPEWA BASI LA MICHEZO, AU KWA VILE UMEAMBIWA UVAE VIZURI KAMA MAADILI YA KAZI...HALAFU SOMENI MADILI YA UTUMISHI.. TUTACHEKWA KUTOA HOJA . MFU MBELE ZA WATU...ACHANA NA UPUUZI HUO...FATA MAISHA YAKO..FANAYA KAZI ILI MTU ASIJE CHUKUA KISINGIZIO KUWA MZEMBE..AKUTAFUTE KWA LINGINE NDUGU YANGU..YANA MWISHO HAYA JISAFISHE KWANZA KABLA HUJAANZA SEMA WATU .JE UKOJE..FAMILA YAKO UNAIMUDU MTU WA NAMNA HI HATA KWENYE FAMILA YAKE NI MIGOGORO..UNALALMIKA KAMA HUNA UHAKIKA NA ELMU YAKO .ULISOMA CHUO GANI WEWE .AU ULIPEWA HIYO DEGREE.. TOA MAONI YENYE MANTIKI .USIJAE JAZBA TU..KWENYE WATU WENGI JAZBA, KWA MKEO JAZBA..SIKO ZOTE JAZBA..HUJIAMINI MAISHA YAKO WEWE .ANGALIA RAFIKI WATU WANAKUMULIKA KWA KAULI ZAKO ZA AJABU HIZO NA WAMESHAJUA NYIE MNAOWEKA HIZI POST ZA KUTUSI WATU. HAYA ENDELEENI.
dah sasa hayo yana tofauti gani na yule muhando wa tanesco ambae aliwapa tenda wanae ya kuleta stationary katika tanesco duh hii noma ila nimeshangaa kukuta mpaka lifuliro aisee namuheshimu sana mkuu yule nashangaa nae kaingia katika ufisadi ngoja nitafute ile kamati ya mashirika ya umma maana hapa wameandika hivi
optimal welfare consultants (oweco) is a private tanzanian consultancy company established with the registration number 90906 and incorporated under the companies act of 2002 and that the company is limited. It is a semi- profit firm with the primary focus of providing consultancy services in a wide range of development planning and management areas such as health, education , environment, land, finance and economic development, water, trade, agriculture, livestock, forest, tourism, technological development, social protection and mining sectors. The company is envisaged to provide training, conduct research and policy/strategic analysis/reviews and carry out other advisory functions in the above specified areas. Oweco uses participatory approaches, models and tools and advanced technology to provide optimal services to clients. The head office of the company is located in dodoma urban.
sasa kama ni private company kwann itumie mali za chuo????