"JIFUNZENI WENZENU WAMEPUKUPTIKA KMA MBELEWELE..NA WATU WANADUNDA..WALIWANYOSHEA HADI VIDOLE MACHONI LAKINI WAPO NA WAO WAMETOWEKA ..ANGALIENI ..MTATOWEKA HATA HUKO MLKO..MSIPENDE INGILIA MAISHA YA WATU NDUGU ZANGU."
ISSSHHHHIIIIIII ,,,,,.... (
kwa watani wetu wa kisukuma ni alama ya mshangao. au sio watani?)
Nkambi acha kutishia watu kifo, kufa booongo?? kufa ulaya bhana. kwani wakifa inakuuma nini wewe au unaona uchungu kutoa karambi rambi kakooo??? watu wamejilia gambe (UJIMBI) mpaka waka danja(wakafa) useme walilaaniwa. acha kuamini ushirikina labda kama ulihusika na kutoweka kwao.
We acha watu watoe ya moyoni bhanaa " FIRIDOMU OFU SIPICHI. WEWE MWENYEWE HUJAANDIKA JINA LAKO, ALAFU UNAJIKUTA
STERINGI kutetea yaliyo ya kweli. nipotezee kama vp.
ene wei baki tu ze pointi
Ila langu ni dogo sana kuhusiana na kichwa cha habari
UBADHIRIFU kuna ka kampuni kamoja kanaitwa "OWEKO" nahitaji ufafanuzi kidogo maana top 3 of mngt wapo, kliki hii webusaiti
www.oweco.co.tz alafu nenda OUR CONSULTANTS ujionee kitengo cha utafiti wapo, na wengine wapo wapo kuzuga au kupetezea maboya wenye SIIVI ya mistari mitatu (3). Hv kazi za utafiti za chuo kitengo chake ni "
OWEKOOOOO" au
RISECHI DIPATIMENTIIII? au ndio
kabranchi//????? au ndio ka
TWISHENI cha depatimenti ya resechi?? na hii ni kwa manufaa ya wachache walio kwenye ka kampuni ketuUU au kwa chuoooo?. Mbona magari na NAITI za madereva kufuatilia shughuli za kakampuni ketu zinatoka chuoni? au huu ni umbea??? sasaa haka ka TWISHENI kanaifaidishaje chuo??? natarajia kuna marejesho kidogo kwaajili ya chuo kwa matumizi ya hz
RISOSI, JE KINA MASLAHI YEYOTE KWA CHUO?. sijamtaja mtu lakini .........au sio Nkambi "
nimetupa kajiwe kangu kundini litakalo mpata samahaniii" SITARAJII KUTOWEKA HATA NIKILOGWA.
illlaaaa sasa na
nyinyi msio na Vi TWISHENI kwenye dipatimenti zenyu mliopo hapo MIPANGO, mbona mnang'ong'ona ng'ong'ona tu mtaani mpaka yametufikia na sisi tusiowalengwa na bahati mbaya hatuna siri wala dogo? mnanishangaza sana hamna pakuyasemea? mbona kama mna mbwela mbwela kulisema hili?? hapo chuoni hakuna hata masanduku ya maoni??? AU NDO MNAOGOPA KUFA KAMA ASEMAVYO MDAU ALIETANGULIA????
AM OUT FELLAZ. NI HAYO TUUUU..............
:boink::boink::boink: :mimba: :attention::attention::attention: