Ubadhirifu wa fedha za umma TMRC

Ubadhirifu wa fedha za umma TMRC

mabatamawili

New Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Mkrugenzi Mtendaji wa taasisi ya TMRC achunguzwe kwa umakini.

Hadi leo taasisi ya TMRC haina mfumo wa tehama unaoeleweka

Fedha za Umma takriban shilling billion mbili zilitumika vibaya.
 
Mkrugenzi Mtendaji wa taasisi ya TMRC achunguzwe kwa umakini.

Hadi leo taasisi ya TMRC haina mfumo wa tehama unaoeleweka

Fedha za Umma takriban shilling billion mbili zilitumika vibaya.
TMRC ni nini? Tulia uandike vizuri ueleweke. Fedha zilitumika vibaya vipi na lini? Zilikuwa za nini? Huyo Mkurugenzi ni nani?
 
TMRC ni nini? Tulia uandike vizuri ueleweke. Fedha zilitumika vibaya vipi na lini? Zilikuwa za nini? Huyo Mkurugenzi ni nani?

Taasisi Ya TMRC Inavyowezesha Mikopo Ya Nyumba​

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya mikopo ya nyumba ya Tanzania Mortgage Refinance (TMRC), Oscar Mgaya amezungumzia namna ambavyo taasisi hiyo inavyoziwezesha Watanzania wengi zaidi kujipatia mikopo katika mabenki baada ya wao kuwawezesha kupata fedha za muda mrefu ili yaweze kutoa mikopo ya muda mrefu na hivyo kurahisisha mpango wa ukopeshaji.

My note:
Bongo kuna utitiri wa taasis za umma ambazo nyingi hazieleweki zinafanya nini hata..
 
Back
Top Bottom