Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya mikopo ya nyumba ya Tanzania Mortgage Refinance (TMRC), Oscar Mgaya amezungumzia namna ambavyo taasisi hiyo inavyoziwezesha Watanzania wengi zaidi kujipatia mikopo katika mabenki baada ya wao kuwawezesha kupata fedha za muda mrefu ili yaweze kutoa mikopo ya muda mrefu na hivyo kurahisisha mpango wa ukopeshaji.
My note:
Bongo kuna utitiri wa taasis za umma ambazo nyingi hazieleweki zinafanya nini hata..