kama sijakosea 1US $ ni sawa na Burundi Franc {BIF} 1545,yaani ipo juu kidogo ya madafu yetu,sasa kama ni hivyo nenda tu kwenye maduka ya kubadilishia pesa ambayo yapo kila kona hapo Dar kwa kuwa unazo nyingi lazima watazibadili,BOT ata wakibadilisha rates zao zipo chini sana.