Ubadilishaji fedha

Ubadilishaji fedha

Nickson Mloge

Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
7
Reaction score
2
Samahani wakuu,nilikuwa naomba kujuzwa kama bot wanaweza kunibadilishia faranga zangu za burundi kiasi cha milioni 2.59
 
kama sijakosea 1US $ ni sawa na Burundi Franc {BIF} 1545,yaani ipo juu kidogo ya madafu yetu,sasa kama ni hivyo nenda tu kwenye maduka ya kubadilishia pesa ambayo yapo kila kona hapo Dar kwa kuwa unazo nyingi lazima watazibadili,BOT ata wakibadilisha rates zao zipo chini sana.
 
BOT hawabadilishi fedha toka kwa watu binafsi, wanashauri uende kwn maduka ya kubadilishia pesa au benki za biashara
 
Back
Top Bottom