Advocate_Silayo
Member
- Aug 5, 2019
- 64
- 93
Just a reminder
Kwa wale mnaofunga ndoa na mkabahatika siku ile ya harusi yenu (sherehe) ukumbini kama mtapewa zawadi ya Kiwanja au Nyumba na mtu yoyote yule, tafadhalini sana kumbukeni kuchukua Hati ya kiwanja na muibadilishe jina kutoka la mmiliki aliewapa kuja kwenu la sivyo siku ikatokea mkataka kuachana (talaka) hiyo nyumba au hicho kiwanja hamtaweza kugawana kwa maana kisheria "chochote kile kinachoungana na ardhi ni mali ya mwenye ardhi" sasa kama hati si ya kwenu nyote wawili Mahakama haiwezi kuwagawia mali isiyo yenu.