Ubaguzi dhidi ya ndugu zetu Wamorocco

Ubaguzi dhidi ya ndugu zetu Wamorocco

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230
Leo wahaini tunawatoa kamasi๐Ÿ‘‡

Sisi wana Argentina wenye mpira wetu, leo ni leo, tuna jambo letu kuhusu Wafaransa wa asili na wahaini/Waafrika wale mahaters wa Morocco mliokua mnawatukana na kuwabagua waafrika wenzetu. Leo mtalia sana sana mbele ya wanaume wa shoka Messi na Jeshi lake.

Si mlichagua kushabikia wahaini? Eti nashabikia Ufaransa weusi wenzetu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€! Messi na jeshi lake linaingia uwanjani, ALEYOMBA GEKKE mtalia sana.

Kwanza aliesema sio๐Ÿ‘‰ Wamorocco ni mchezaji mmoja fundi anaitwa Soufiane Boufal, hivyo musiwajumuishe Wamorocco wote, na hajasema kibaya, ninyi mliwatenga mwanzo, na yeye akazungumza yale.

Hata kabla hajayasema hayo hamkuwahi kuwapenda, hivyo acheni kelele bwana. Refer AFCON kati ya Senegal and Egypt n.k, hivyo msijitoe ufahamu, acheni ubaguzi.

Argentina, Messi na Jeshi lako๐Ÿ‘‰pigeni hao Wafaransa na wahaini, tulipizieni kisasi dhidi ya ndugu zetu Wamorocco.

Aleyomba gekke, Argentina PIGENI hao wahaini mpaka warudi nyumbani kwao Afrika.

MOROCCO ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ’ช
ARGENTINA ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ’ช
 
Hawajabaguliwa wamejibagua wenyewe tokea miaka ya 90 huko.
 
Leo wahaini tunawatoa kamasi๐Ÿ‘‡

Sisi Wana Argentina wenye mpira wetu, leo ni leo, tuna jambo letu kuhusu wafaransa wa asili na WAHAINI/WAAFRIKA,,,, wale mahaters...
Ukiliweka jina lako la kweli hapa , achana na hili la kificho lazima litakuwa la kiarabu. Hivyo kwako maneno aliyoyatamka kwako ni sawa tuu.

Ila nikukumbushe kuwa Kuna wachezaji na timu zimecheza kwa mafanikio na kuweka historia hapa DUNIANI , wanapenda dunia nzima kwa sababu hawajawahi kubagua wafuasi wao kwa dini zao.

Alichokiongea SOFIAN sio bahati mbaya, ndivyo kwenye vichawa vyao vilivyo na kwenye Maisha ya kawaida
 
Leo wazungu kwa wazungu wanapigana bakora mpaka mmoja anye๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
ACHENI UTUMWA..

KILA MTU ASHANGILIE KILICHO CHAKE, TUPUNGUZE UCHAWA.

MOROCCO NI AFRO-ARAB COUNTRY

SISI WEUSI NDO AFRICAN COUNTRIES.

Tukicheza na vilabu vyao huwa tunawaita WAARABU, si ubaguzi ndo uhalisia.

HUKO ASIA KUNA WACHINA, WAHINDI, WAARABU N.k

NA INDIA HAWEZ KUSHANGILIA USHINDI WA WACHINA KISA NI ASIA WENZAO.

TUSIKWEPE HUU UKWELI..
 
Ukiliweka jina lako la kweli hapa , achana na hili la kificho lazima litakuwa la kiarabu. Hivyo kwako maneno aliyoyatamka kwako ni sawa tuu. Ila nikukumbushe kuwa Kuna wachezaji na timu zimecheza kwa mafanikio na kuweka historia hapa DUNIANI , wanapenda dunia nzima kwa sababu hawajawahi kubagua wafuasi wao kwa dini zao. Alichokiongea SOFIAN sio bahati mbaya, ndivyo kwenye vichawa vyao vilivyo na kwenye Maisha ya kawaida

Sisi Wana Argentina tumewalipizia kisasi ndugu zetu WAMOROCCO.

Waliokua wakishabikia ufaransa kisa kuna weusi, pole yao.

๐Ÿ’ช๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ’ช
 
Alifanya timu ya mamake, wakawa wanadhani wapo sebuleni kwao.Kaacha doa kubwa kwenye mashindano.Kwa wapenda ligi za kibaguzi, wafia dini, na wakabila.Halikuwa neno sahihi iwe iwavyo.
Waliowafurahia ufaransa kuwatoa morocco, jana tumewalipua, yani tumewapiga na kitu kizito wahaini. Poleni sana ndugu zao mliopo huku, Messi na jeshi lake limemaliza kazi

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ’ชโŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›
 
Kuna watu wanaona aibu kuingia humu, safi sana Messi kutupigia hao pamoja na linchi lao linalounga USHOGA

โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ’ช๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ช
 
Waliowafurahia ufaransa kuwatoa morocco, jana tumewalipua, yani tumewapiga na kitu kizito wahaini. Poleni sana ndugu zao mliopo huku, Messi na jeshi lake limemaliza kazi

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ช๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ’ชโŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›โŒ›
Morroco alipotoka tu mimi kombe nikalikamilisha.
 
Pole sana, sisi Wana Argentina tumewalipizia kisasi ndugu zetu WAMOROCCO.
Heheh washenzi wakoloni wapigwe tu uzuri mweusi kabeba kiatu na posho wanazilamba,,,,wakoloni wabaki na bendera yao tu
 
Back
Top Bottom