Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Leo wahaini tunawatoa kamasi๐
Sisi wana Argentina wenye mpira wetu, leo ni leo, tuna jambo letu kuhusu Wafaransa wa asili na wahaini/Waafrika wale mahaters wa Morocco mliokua mnawatukana na kuwabagua waafrika wenzetu. Leo mtalia sana sana mbele ya wanaume wa shoka Messi na Jeshi lake.
Si mlichagua kushabikia wahaini? Eti nashabikia Ufaransa weusi wenzetu ๐๐๐! Messi na jeshi lake linaingia uwanjani, ALEYOMBA GEKKE mtalia sana.
Kwanza aliesema sio๐ Wamorocco ni mchezaji mmoja fundi anaitwa Soufiane Boufal, hivyo musiwajumuishe Wamorocco wote, na hajasema kibaya, ninyi mliwatenga mwanzo, na yeye akazungumza yale.
Hata kabla hajayasema hayo hamkuwahi kuwapenda, hivyo acheni kelele bwana. Refer AFCON kati ya Senegal and Egypt n.k, hivyo msijitoe ufahamu, acheni ubaguzi.
Argentina, Messi na Jeshi lako๐pigeni hao Wafaransa na wahaini, tulipizieni kisasi dhidi ya ndugu zetu Wamorocco.
Aleyomba gekke, Argentina PIGENI hao wahaini mpaka warudi nyumbani kwao Afrika.
MOROCCO ๐ฒ๐ฆ ๐ช
ARGENTINA ๐ฆ๐ท ๐ช