Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
- Thread starter
-
- #21
Heheh washenzi wakoloni wapigwe tu uzuri mweusi kabeba kiatu na posho wanazilamba,,,,wakoloni wabaki na bendera yao tu
Morroco alipotoka tu mimi kombe nikalikamilisha.
Morroco alipotoka tu mimi kombe nikalikamilisha.
Huyo moroco alishaikimbia africa abaki na warabu wao........sie ni wa BRICS na ngozi nyeusiALEYOMBA GEKKE, morocco tumemlipizia kisasi kwa wazungu+wahaini, upo hapo!
Huyo moroco alishaikimbia africa abaki na warabu wao........sie ni wa BRICS na ngozi nyeusi
😀😀😀mhaini kwa taifa lipi.....mbona bado Mbape kabeba kiatu......cha msingi ni mweusi, taifa la ulaya hao minato hakuna habari ,na kombe kabeba mwannachama mtarajiwa wa brics.....baaaas sie bado tunaendeleza ya ukraine we baki na yakoTumewanyoosha wahaini mliokua upande wao, wanaliaa. Acheni ubaguzi, messi kawanyoosha.
😀😀😀mhaini kwa taifa lipi.....mbona bado Mbape kabeba kiatu......cha msingi ni mweusi, taifa la ulaya hao minato hakuna habari ,na kombe kabeba mwannachama mtarajiwa wa brics.....baaaas sie bado tunaendeleza ya ukraine we baki na yako
Na mie mrusi wa buza tumewanyoosha Nato swaaafi kabisa......huku mweusi mwenzetu akibeba kiatu swaaafiNdioo mimi ni mwanargentina, tumewanyoosha wakina mbappe na wenzie. Pole sana
Argentina 🇦🇷 💪💪⌛⌛⌛⌛
Morocco 🇲🇦 💪💪💪💪💪💪💪
Mimi mweusi kama talo la jaluo.Kwahiyo ulifurahia ndugu zako kuondolewa?
Hii thanks ni ya argentina si morocco.Sawa mfaransa, tumewapiga wahaini, yani tumelipa kisasi cha nguvu
Argentina oyeeee
Morocco oyeeee
Hii thanks ni ya argentina si morocco.
Wasilam kimpira mmejitahidi kwa kweli ila mbape noma.Ahsanteni sana Morocco, hakika wametuwakilisha vyema, best team in Afrika
Ahsanteni sana Argentina, kwa kututolea hao wafaransa, wangeshinda tungekoma
Na mie mrusi wa buza tumewanyoosha Nato swaaafi kabisa......huku mweusi mwenzetu akibeba kiatu swaaafi
Wasilam kimpira mmejitahidi kwa kweli ila mbape noma.
FransaNani yupo nato ausar?
Fransa
Hata mzungu kauiba mchezo kwa wachina akauboresha tuKwanza mpira wa miguu ni mchezo wa wazungu,si waafrika tungeendelea na ngoma za jadi tu