Ubaguzi dhidi ya ndugu zetu Wamorocco

Ubaguzi dhidi ya ndugu zetu Wamorocco

Heheh washenzi wakoloni wapigwe tu uzuri mweusi kabeba kiatu na posho wanazilamba,,,,wakoloni wabaki na bendera yao tu

ALEYOMBA GEKKE, morocco tumemlipizia kisasi kwa wazungu+wahaini, upo hapo!
 
Huyo moroco alishaikimbia africa abaki na warabu wao........sie ni wa BRICS na ngozi nyeusi

Tumewanyoosha wahaini mliokua upande wao, wanaliaa. Acheni ubaguzi, messi kawanyoosha.
 
Tumewanyoosha wahaini mliokua upande wao, wanaliaa. Acheni ubaguzi, messi kawanyoosha.
😀😀😀mhaini kwa taifa lipi.....mbona bado Mbape kabeba kiatu......cha msingi ni mweusi, taifa la ulaya hao minato hakuna habari ,na kombe kabeba mwannachama mtarajiwa wa brics.....baaaas sie bado tunaendeleza ya ukraine we baki na yako
 
Ndioo mimi ni mwanargentina, tumewanyoosha wakina mbappe na wenzie. Pole sana

Argentina 🇦🇷 💪💪⌛⌛⌛⌛
Morocco 🇲🇦 💪💪💪💪💪💪💪
 
Ndioo mimi ni mwanargentina, tumewanyoosha wakina mbappe na wenzie. Pole sana

Argentina 🇦🇷 💪💪⌛⌛⌛⌛
Morocco 🇲🇦 💪💪💪💪💪💪💪
Na mie mrusi wa buza tumewanyoosha Nato swaaafi kabisa......huku mweusi mwenzetu akibeba kiatu swaaafi
 
Kwanza mpira wa miguu ni mchezo wa wazungu,si waafrika tungeendelea na ngoma za jadi tu
 
Kwanza mpira wa miguu ni mchezo wa wazungu,si waafrika tungeendelea na ngoma za jadi tu
Hata mzungu kauiba mchezo kwa wachina akauboresha tu
origen-del-futbol-cuju-e1610916175267.jpg
Screenshot_20221220-112853_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom