ubaguzi kazini

ubaguzi kazini

lovulovu

Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
20
Reaction score
5
nimesoma sheria ya ajira na mahusiano mema kazini (employment and labour relations act) nikagundua kwamba ni kosa la jina (offence) kwa mwajiri kumbagua mfanyakazi in policy or practice. sasa je shauri la namna hiyo la kubaguliwa na mwajiri linafunguliwa katika mahakama gani na adhabu yake ni nini? na je mfanyakazi aliyebaguliwa aweza kulipwa fidia? ni vipi kama mwajiri ni foreigner aweza kutimuliwa nchini?
lovulovu
 
Mmmh
Wataalamu wa sheria makazini na hasa zaidi watu wa vyama vya wafanyakazi mnaweza kusaidia hili
 
nakushukuru Paka Jimmy kwa hoja yako lakini ni kwa bahati mbay sana kwamba hadi leo hakuna mtaalam wa sheria hata mmoja aliyenijibu swali langu kuhusu ubaguzi kazini - nini adhabu yake na kama naweza kupata fidia au kama mbaguzi ni mgeni aweza kutimuliwa nchni.
 
Back
Top Bottom