nimesoma sheria ya ajira na mahusiano mema kazini (employment and labour relations act) nikagundua kwamba ni kosa la jina (offence) kwa mwajiri kumbagua mfanyakazi in policy or practice. sasa je shauri la namna hiyo la kubaguliwa na mwajiri linafunguliwa katika mahakama gani na adhabu yake ni nini? na je mfanyakazi aliyebaguliwa aweza kulipwa fidia? ni vipi kama mwajiri ni foreigner aweza kutimuliwa nchini?
lovulovu
lovulovu