DOKEZO Ubaguzi kwa watumishi kupata stahiki zao Taasisi ya Vyuo vya Mifugo

DOKEZO Ubaguzi kwa watumishi kupata stahiki zao Taasisi ya Vyuo vya Mifugo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo.

Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana morali ya kazi tena ni kama taasisi imefikia ukomo hakuna mawazo mapya tena. Mkuu wa taasisi ni kujilipa na kulimbikiza mimali ya wizi huku watumishi wanateseka

Watumishi wananyimwa haki ya kujiendeleza kimasomo wanaopewa ni kwa vita na hata fursa zinapojitokeza zinagusa watu kutoka kwenye ukanda wao.

Taasisi imepoteza muelekeo
 
Kuna Rafiki yangu Moja kaingia huko LITA yupo Mpwapwa sijui nae anateseka hvyo
 
Back
Top Bottom