Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hakuna kitu kilichojificha mim nilikua mbele yao nikaskie wakiongea katika hawa wazanzibar hawawezi kazi na kilichofuata ni kuanza kutaftiwa sababu mbali mbali na sio mim pekee nilieondoshwa ni wengi tu katika department yetu.Mkuu itakua kuna kitu kimejificha kati yenu jaribu kufatilia utagundua hilo...
Hata mimi nyumbani ni huko huko tena Pba lakini pia nipo kwenye serikali ya Magufuli na sijawahi kuambiwa mimi mvivu kubwa napata sifa ya kujichanganya na Wabongo bila kujibagua. Tena wananiamini sana kuliko hao wabongo wenzao kwenye masuala ya pesa.
Ubaguzi bado upo katika kazi.Ubaguzi Zanzibar upo tu ebu tafuta nafasi za ajira zote za serikali wanataka Mtu awe mzanzibari nikigezo cha kupata kazi ,Angalia.nafasi za Ajira zote za serikali utaona hii issue
Ok,.. Lakini kama kweli unataka kazi jaribu kujiunga jku mbona ajira zitatoka sana hususan kipindi hiki tunachoenda nacho.Mkuu hakuna kitu kilichojificha mim nilikua mbele yao nikaskie wakiongea katika hawa wazanzibar hawawezi kazi na kilichofuata ni kuanza kutaftiwa sababu mbali mbali na sio mim pekee nilieondoshwa ni wengi tu katika department yetu.